Captain Kuro Kutoka Mihiri

Availability: In stock

$2.99

Mwandishi: Nick Broadhurst

Mchoraji: MD Hasib Uzerman

Captain Kuro From Mars Series, no. 1, Swahili

Kapteni Kuro aliamka katika chombo chake cha angani. Hewa ilikuwa inavuja.
Rafiki yake Jaron hakuwapo.

Kuro alikimbilia sehemu ya kuponyokea, na kuweka kozi ya Dunia.

Below is the Captain Kuro Melody Soundtrack by Tschix. For more information on it please read the soundtrack section on this piece.

Quantity :
Kapteni Kuro aliamka katika chombo chake cha angani.   Hewa ilikuwa inavuja.
Rafiki yake Jaron hakuwapo.  Kuro alikimbilia sehemu ya kuponyokea, na kuweka kozi ya Dunia.

Saa moja baadaye, Kuro aliupita mwezi. Alikuwa ni mnyama mdogo kama paka wa Mihiri, na alijisikia vibaya, kama kulia. Alikuwa peke yake.

Kifaa cha kuponyokea cha Kuro kilikuja kupitia mawinguni, na kukwama kwenye mti.
Kuro aliangalia vitu vikubwa vya kutisha vya kijani vinavyotikisika nje. Akimeza mate, alifungua mlango, polepole.

Kiumbe kililia na kuruka angani, kikimshtua.
Kasuku kishungi alicheka, “Mimi ni Fobon. Huu ni mti wangu.”
“Mti ni nyumba yako?” Aliuliza Kuro.

.

.
AUTHOR: Nick Broadhurst

ILLUSTRATOR: MD Hasib Uzerman (Uzzaman)

GENRE: Sci-Fi & Fantasy

RELEASED: 2019 Feb 27

LANGUAGE: SW Swahili

LENGTH: 28 Pages

PUBLISHER: Sequetus Publishing

SELLER: Sequetus Publishing

SIZE: PDF – 7.1 MB    XPS – 5.2 MB

.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Captain Kuro Kutoka Mihiri”

Your email address will not be published.

Loading...